Vanessa Mdee – Niroge (Lyric Video)Vanessa Mdee presents the lyric video for ‘Niroge’, directed by Ezra Brown.
Download on iTunes: http://smarturl.it/Niroge
Download on Mkito: https://mkito.com/song/10265
Download on Amazon: http://smarturl.it/VMnAM
Download on Google Play: http://smarturl.it/VMnGG
Stream: http://smarturl.it/VMnST

© 2016 Mdee Music

Check out Vanessa’s latest single, ‘Cash Madame’: http://smarturl.it/CashMadame

Follow Vanessa

https://www.facebook.com/VanessaMdee/
https://instagram.com/vanessamdee/

Digital distribution: http://www.africori.com/

Lyrics
Verse1:
Raha ya nyumba mwanaume.
Wacha nikutunze.
Nyumba yetu tuipambe.
Hapo nyuma tulishindiaga mabwende, Karanga na Makande, Nguru, Ugali dona sembe.

Bridge:
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko.
Hawaishi longo longo.
Vimaneno kama viroboto.
Wanakesha wakiomba unichapege mkongoto.
Jamani sielewi.
baby you are …

Pre Chorus:
Ukimuona
Furaha tele moyoni
Nikimuona
Tabasamu usoni

Chorus:
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu.
Verse 2:
Sikusifii we mwanaume nguzo.
Ulishindaga vikwazo.
Tangu Mwanzo.
Ulipambana na wenye nazo.
Ili niwe mali yako
Leo, kula vyako.
You’re my dream, in my life
Hata mi moyoni we ndiyo unanifaa.

Bridge:
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko.
Hawaishi longo longo.
Vimaneno kama viroboto.
Wanakesha wakiomba unichapege mkongoto.
Jamani sielewi.
baby you are …

Pre Chorus:
Ukimuona
Furaha tele moyoni
Nikimuona
Tabasamu usoni

Chorus:
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu.

Bridge 2:
To The Left
To The Right
To The Left
To The Right
To The Right
To The Left
Kwani mapenzi matamu

Pre Chorus:
Ukimuona
Furaha tele moyoni
Nikimuona
Tabasamu usoni

Chorus:
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu.

Bridge 2:
To The Left
To The Right
To The Left
To The Right
To The Right
To The Left
Kwani mapenzi matamu

http://vevo.ly/ix2C57

source

 1. November 6, 2022

  Who came after watching Jamie Lever singing this song in one for her YouTube videos

 2. November 6, 2022

  2020 anyone

 3. November 6, 2022

  Jamani beat ???

 4. November 6, 2022

  How do you dislike this song

 5. November 6, 2022

  Very nice dear

 6. November 6, 2022

  Best song…. I love you vanessa

 7. November 6, 2022

  Napend sn nyimbo zako ???

 8. November 6, 2022

  Dope venessa mdee ?❤️❤️❤️

 9. November 6, 2022

  Luv dis song though i dont understand a single word

 10. November 6, 2022

  ????

 11. November 6, 2022

  ?????

 12. November 6, 2022

  gud song

 13. November 6, 2022

  I love vmoney

 14. November 6, 2022

  nice song

 15. November 6, 2022

  mmh vee money amazing

 16. November 6, 2022

  Nice song

 17. November 6, 2022

  nice

 18. November 6, 2022

  Thank you for this lyric video!!! Ninasoma kiswahili na video hii ni kila kitu! Asante rafiki!!

 19. November 6, 2022

  love yhu a lot my twyno ccy V'Money

 20. November 6, 2022

  love yhu a lot my twyno ccy V'Money

 21. November 6, 2022

  good

 22. November 6, 2022

  ??? hyo lyrics sasa sisem mm but naomba kurogwa mara ya pili?

 23. November 6, 2022

  nice

 24. November 6, 2022

  nyc cc, I luv t

 25. November 6, 2022

  Nice

 26. November 6, 2022

  First like!!!..Nikama nimerogwa??
  #Niroge

 27. November 6, 2022

  J'adore ! Kitoko